Utafiti kutoka katika jarida la Lancet unaonyesha zaidi ya asilimia
50 ya watoto ambao wamepewa chanjo hiyo wamepata ulinzi dhidi ya ugonjwa
huo.
Nusu ya idadi ya watu duniani wako katika hatari ya kuambukizwa virusi vya ugonjwa huo vinavyotokana na mbu.
Wataalam wanasema ingawa utafiti umekuwa ni wa muda mrefu wameahidi
chanjo ya ufanisi mkubwa na muhimu ili kufanikisha lengo lao.
Kwa sasa hakuna tiba ya kuzuia homa ya...
This is default featured slide 1 title
Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.
This is default featured slide 2 title
Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.
This is default featured slide 3 title
Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.
This is default featured slide 4 title
Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.
This is default featured slide 5 title
Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.
Jumapili, 13 Julai 2014
Ijumaa, 4 Julai 2014
jionee: Daraja lililobomoka na kuua wawili Brazil.
06:54
No comments
Daraja limebomoka na kuua watu wawili huku wengine zaidi ya 10 wakijeruhiwa katika mji ambako mechi za nusu fainali zikitarajia kuchezwa nchini Brazil.
Tukio hilo limetokea katika mji wa Belo Horizonte wakati magari yakipita chini ya daraja ambapo moja ya malori lililokuwa limebeba gari na ujenzi na gari moja lilinasa kwa mujibu wa maafisa.
mhabari forum ipo kukujuza kila kinacho tokea, niko tayari kukutumia wakati wowote kupitia...
Jisajili kwenye:
Machapisho (Atom)