More Giniazy track

[soundcloud url="https://api.soundcloud.com/tracks/167825674" params="auto_play=true&color=ff5500" width="100%" height="166" iframe="true" /]

This is default featured slide 1 title

Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.

This is default featured slide 2 title

Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.

This is default featured slide 3 title

Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.

This is default featured slide 4 title

Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.

This is default featured slide 5 title

Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.

Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo siasa. Onyesha machapisho yote
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo siasa. Onyesha machapisho yote

Jumapili, 22 Juni 2014

Lowassa Atangaza ‘Uamuzi Mgumu’


Lowassa Atangaza ‘Uamuzi Mgumu’

Waziri Mkuu wa zamani na Mbunge wa Jimbo la Monduli, Edward Lowassa ametangaza kuanza kwa hatua za kuyarejesha kwenye Mamlaka za Serikali za Vijiji mashamba 21 ya wawekezaji  yenye ukubwa wa zaidi ya ekari 10,000,  ambayo hayajaendelezwa.

Akizungumza na wananchi wa Kijiji cha Lomooti, Kata ya Lolkisale wilayani humo alipokwenda kutembelea boma la kisasa la mfugaji Isaya Lembekure, Lowassa alisema  haiwezekani wananchi wa Monduli kukosa ardhi wakati, kuna ardhi yao iliyohodhiwa na wachache bila kuendelezwa.

 “Monduli tumechoka na uuzwaji wa ardhi. Kila mahali ni matatizo ya uuzwaji wa ardhi. Sasa tunatangaza kuanza mchakato wa kuyarejesha mashamba yote ya wawekezaji ambayo hayajaendelezwa. Tayari hatua mbalimbali zimeanza kuchukuliwa ili kuyarejesha,” alisema Lowassa.

Tamko hilo la Lowassa, lilipokewa kwa shangwe na wananchi wa Wilaya ya Monduli na limekuja wakati migogoro ya ardhi baina ya wawekezaji na wananchi na  wakulima na wafugaji imeshamiri nchini.

Licha ya kutoa agizo hilo, Lowassa ameendelea kukemea uuzajiwa wa ardhi wilayani humo, unaofanywa kinyume cha taratibu na Serikali.

“Kuanzia sasa kiongozi wa kijiji atakayebainika kuhusika kuuza ardhi kinyemela, ang’olewe kupitia mikutano ya vijiji,” alisema Lowassa.

Kwa upande wake Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya  Monduli,  Twalib Mbasha alisema tayari halmashauri hiyo imeanza maandalizi ya kuyarejesha mashamba hayo kwa kuwataka  wahusika wa mashamba hayo kujieleza kwa nini hawajayaendeleza hadi leo.

“Halmashauri inakusudia kuyafuta mashamba yote yasiyoendelezwa na yaliyotelekezwa, hii ni kutokana na kushindwa kufuata masharti ya ardhi kama ilivyoanishwa na sheria ya Ardhi namba 4,999 fungu la 44 na fungu la 48. Nimetoa siku 90 watu hawa wajieleze,” alisema Mbasha.

Aliyataja mashamba yanayotarajiwa kurejeshwa kwenye mamlaka za Serikali za Vijiji kuwa ni Meru Enterprises namba 10, ACU LTD namba 2390, TANFORM LTD  47, TANFORM 44  na Melembuki Kitesho Mollel namba 974 katika Kijiji cha Lolkisale.

Mashamba mengine ni The Monduli Parents Sec School, Musa Mamuya namba 2278 lipo Makuyuni, David Pello 2275, Hillary Gadi namba 2474, Khalifan Said Masoud 2276, Masoud Said Masoud 2277 yapo Kijiji cha Mswakini Juu.

Alitaja pia yaliyopo katika kijiji hicho ni ya Lucas Petro Kambei namba 2597 na Rungwa game Safari Ltd namba 2765.

Alisema mashamba mengine  ni Omary Daudi Mshana 1571, Saidi Rashid Lena  namba 2549 yaliyopo Kijiji cha Naitolia, wakati mashamba mengine ni ya T.R Msuya namba 3, Esimingori Estate Ranch namba 7/2, Saburi Estate Ltd namba  7, Musa Y. Mamuya yaliyopo Makuyuni

Jumamosi, 21 Juni 2014

wabunge urusi wa pendekeza hoja ya kupiga vita kuvaa viatu virefuu....! soma habari kamili




http://mhabariforum.blogspot.com/
Mbunge wa bunge la Urusi Oleg Mikheyev, ametoa pendekezo linalowachukiza watu wengi, zaidi ikiwa ni wanawake la kuitaka serikali kupiga marufuku uvaaji wa viatu virefu kwa wanawake.
Katika pendekezo la Mikheyev lililotumwa kwa mwenyekiti wa bodi, ametaka kuwepo marufuku ya uvaaji viatu virefu na kuweka sheria kali ya jinsi viatu virefu vinavyotakiwa kuwa.
Mikheyev ameandika kuwa viatu havitakiwi kuwa virefu sana kwa wanawake kwa kuwa na urefu wa nchi mbili mpaka nne kufikia urefu wa nchi sita si kitu bora sana, hatua iliyoungwa mkono na baadhi ya wabunge.
Ni halali yako kupata kila stori inayonifikia mtu wangu, niko tayari kukutumia wakati wowote kupitia twitter na facebook
MAONI
SHARE

uganda yatoa kauli baada yakuwekewa vikwazo na marekani juu ya kupiga ushoga.



uganda-gay
Katibu mkuu wizara ya mambo ya nje wa Uganda, Balozi James Mugume, amesema kuwa Uganda haitishwi na vikwazo ilivyowekewa na Marekani kama hatua ya kupinga sheria yake kali kuhusu Ushoga.
Kwa mujibu wa BBC, Balozi Mugume ameelezea kuwa serikali ya Uganda hata hivyo itafanya mazungumzo na Marekani ili kufafanua hatua waliyochukua.
Habari zinazohusiana
Amesisitiza kuwa wataieleza Marekani sheria hiyo inapinga tabia ambayo sio ya kiafrika na maadili ambayo hayakubaliki katika jamii nyingi za kiafrika.
Serikali imesisitiza kuwa vikwazo hivyo havitakuwa na athari kubwa kwa nchi hiyo na pia imekanusha madai ya mashirika ya kijamii kuwa tayari sheria hiyo imechochea ongezeko la dhuluma dhidi ya wapenzi wa jinsia moja.
MAONI
SHARE

sikiliza Sauti ya Mbunge alietumia neno ‘noma’ na ‘mchepuko’ bungeni Dodoma.







micKangi Lugola ambae ni mbunge wa Mwibara (CCM) ni miongoni mwa Wabunge wachache ambao wakisimama bungeni unaweza usiache kucheka au kumsikiliza kwa makini kutokana na aina ya uwasilishaji wake.
Huu ndio ulikua mchango wake kwenye bunge la bajeti June 20 2014 Dodoma ambapo alitumia style ya aina yake ya kuwasilisha mchango wake kwa kuchora katuni na kui-frame vizuri sana ambapo kwenye picha hiyo zinaonekana katuni sita ambazo kila moja ameipa jina lake.
kangi lugolaNi halali yako kupata kila stori inayonifikia mtu wangu, niko tayari kukutumia wakati wowote kupitia twitter instagram na facebook ukijiunga na mimi kwa kubonyeza >>> twitter Insta FB
MAONI

Jumamosi, 7 Juni 2014

Rwandese prostitutes caught Dodoma Wakinyemelea MPs


Four women have been arrested Rwandan Citizens in Dodoma from entering the country smuggled to engage in commercial sex work.   accused the three of Them, Saidat Umotoni (28), Asha Abimana (25) and Asia Umotoni Wase (30), this is their Plot Plot Second arrest in here been accused of engaging in the trade.   At first It was November last year Where all (Asia, Asha and Saidat) after arrest, THEY WERE returned to Them after paying a fine.   Speaking to the press yesterday Acting Chief Immigration Dodoma Region, Proches itself, he arrested another ention is Chalote Uwase (28) WHO has been sentenced to imprisonment for two Years in Prison Isanga he serves, in here.   said the immigrants all together Were arrested by Officers of the detachment of Immigration, after RECEIVING notification in the Presence nationals in the area of road Bahi in Dodoma Municipality.   said the women Were Those arrested at night on streets while being in the process of finding Customers and THEY interviewed all together did not have a passport and live in the country and THEY Had the the his zokuwanazo finished Term of use.   "When THEY popekuliwa, found with a passport Were That Had Expired her to live in the country and more Were THEY are questioned said their Plot Plot uchangudoa work," said Noko.   four Rwandan Citizens have been arrested in Dodoma from smuggled into the country and engage in commercial sex work.
Asia   Umotoni Wase (30), this   frame   their Plot Plot in here and and second arrest allegedly Were Involved with the trade.