
Kangi
Lugola ambae ni mbunge wa Mwibara (CCM) ni miongoni mwa Wabunge
wachache ambao wakisimama bungeni unaweza usiache kucheka au kumsikiliza
kwa makini kutokana na aina ya uwasilishaji wake.
Huu ndio ulikua mchango wake kwenye bunge la bajeti June 20 2014
Dodoma ambapo alitumia style ya aina yake ya kuwasilisha mchango wake
kwa kuchora katuni na kui-frame vizuri sana ambapo kwenye picha hiyo
zinaonekana katuni sita ambazo kila moja ameipa jina lake.

Ni
halali yako kupata kila stori inayonifikia mtu wangu, niko tayari
kukutumia wakati wowote kupitia twitter instagram na facebook ukijiunga
na mimi kwa kubonyeza >>>
twitter Insta FB
MAONI
0 maoni:
Chapisha Maoni