Usiku wa kuamkia leo umekuwa mbaya kwa wafanya biashara wa Eneo la
karume baada ya mabanda ya wamachanga katika eneo hilo kuteketea kwa
moto , Chanzo cha moto huo kinadaiwa kuwa ni "Mama Ntilie" (ambao
inasemekana huchemsha maharage na kuyaacha usiku ili yaive vizuri)
Moto ulikuwa ni mkubwa sana kiasi cha Fire kushindwa kuuzima ikichukulia
walichelewa kufika katika eneo la tukio , Soko la karume ni lile lililo
pale karibu na kiwanda cha bia cha TBL
0 maoni:
Chapisha Maoni