
1:DIAMOND PLATNUM ni msanii namba moja alie tajwa kwenye listi hii
ambaye ndiye anaeoongoza kwa kulipwa pesa nyingi zaidi kwenye show zake
ambapo analipwa hadi dola $4000 kwa show sawa na shilingi 350,000....
pia diamond anamiliki magari ya samani maduka nyumba na mashamba hapa
tanzania
2:PROFESOUR JAY ni msani namba mbili katika listi hii ambae ameanza
mziki miaka ya tisini nana hadi sasa ameweza ku meintane na kuedelea...