
This is default featured slide 1 title
Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.
This is default featured slide 2 title
Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.
This is default featured slide 3 title
Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.
This is default featured slide 4 title
Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.
This is default featured slide 5 title
Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.
Jumanne, 14 Oktoba 2014
ingia ujisomeeeeeeeeeeee>>>> Mapenzi Wanawake Wenye Hips na Shida Wanazokabiliana Nazo Kila Siku eingia
07:46
No comments

Jumapili, 12 Oktoba 2014
Kabula kahaba.. Kabulaa mlevi...kabula ana UKIMWI ivi ni kwelii .....................???????
04:08
No comments
ULEVI NI SHIDAAAA.....>>>>>>>>>>>
03:58
No comments
Jumatano, 8 Oktoba 2014
MCHAKATO:wa katiba mpya Tanzania
13:57
No comments
Rasimu hiyo ya katiba ilipitishwa kwa kura ya ndiyo ya wajumbe wengi wa chama tawala CCM na wale wa kundi maalum, huku wajumbe wa vyama vya upinzani wakisusia na wala hawakushiriki katika kupiga kura ya mwisho
Kwa sasa imeweza kuvuka hatua kuu mbili, kinachofuata baada ya Rais Kikwete kukabidhiwa itakuwa ni kupigiwa kura ya maoni na wananchi, lakini bado barabara ya kuifikia katiba kamili imejaa visiki na utelezi.
Katika hatua hiyo bado hakuna uhakika endapo itafanyika ndani ya miezi sita iliyopangwa kwa mujibu wa sheria, au kazi hiyo itasogezwa mpaka mwaka 2016 baada ya uchaguzi mkuu wa 2015.
Lakini kizingiti kingine ambacho katiba itakabiliwa nacho ni kuoanisha katiba ya Jamhuri ya Muungano ya Tanzania kuendana na katiba ya Serikali ya Mapinduzi Zanzibar – zinazounda Muungano wa Tanzania.
Ikumbukwe kuwa kabla ya mabadiliko haya kuanza mwaka jana, Zanzibar ilikuwa imefanya mabadiliko ya katiba yake mwaka 2010 kama hatua mojawapo ya maridhiano ya amani yaliyomaliza uhasama kati ya chama tawala CCM na upinzani CUF.
Kimsingi ili mabadiliko ya katiba ya Zanzibar yafanyike inatakiwa ipitie katika Baraza la Wawakilishi (sawa na Bunge la Zanzibar) na baada ya hapo iidhinishwe kwa theluthi tatu ya kura ya maoni ya wananchi wa Zanzibar.
Kwa upande mwingine, maswala makubwa yaliyosababisha mgawanyiko ni muundo wa serikali – ziendelee kuwa mbili kama ilivyo sasa au ziwe tatu kama rasimu ya kwanza na ya pili zilivyopendekezwa na iliyokuwa Tume ya Mabadiliko ya Katiba iliyoongozwa na Waziri Mkuu wa zamani wa Tanzania Jaji Joseph Warioba?
Hapo katikati kumetokea mvurugano ambao umeacha maswali mengi zaidi kuliko majibu yanayotoa ufumbuzi – hata tume iliyokusanya maoni imekuwa imepuuzwa na wajumbe wake kurushiwa vijembe kutoka nje na ndani ya Bunge Maalum la Katiba kuwa iliegemea upande mmoja.
Rais wa Zanzibar Dr Ali Mohammed Shein amemfukuza kazi aliyekuwa Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar, Othman Masoud Othman kutokana na msimamo wake wa kupinga rasimu hiyo ya katiba.
Nafasi yake imechukuliwa na Said Hassan Said, aliyetangazwa siku moja kabla ya rasimu kukabidhiwa kwa Rais Kikwete na Rais Shein wa Zanzibar.
Vile vile waliokuwa wajumbe wa tume hiyo wamekanusha kupendelea upande wowote, badala yake wameeleza kuwa walichowasilisha ni maoni ya watanzania.
Ingawa chama kikuu cha upinzani CHADEMA kimejaribu kuhamasisha maandamano ya nchi nzima kupinga mchakato huo wa katiba, hakijapata mafanikio makubwa kutokana na serikali kutumia vyombo vya dola kudhibiti maandamano hayo.
Jambo la kusubiri kwa hamu ni kuona kama Rais Kikwete atatoa hotuba itakayojaribu kuwaunganisha watanzania wakijiandaa na hatua inayofuata ya katiba, au atawapuuza wapinzani na wananchi wanaopinga rasimu hiyo.
Ikumbukwe kwamba mwezi uliopita Rais Kikwete na viongozi wa vyama vya siasa Tanzania ikiwemo chama chake cha CCM, walikubaliana kuwa mchakato wa kupata katiba mpya usimame baada ya hatua hii ya Bunge hadi baada ya uchaguzi mkuu.
Hata hivyo suala hilo pia linategemea kuzua mvutano mwingine wa kisheria kwakuwa sheria ya kuanzisha mchakato wa katiba inataka rasimu ikitoka Bungeni ipelekwe kwa wananchi ndani ya miezi sita.
Jumamosi, 4 Oktoba 2014
Hii ni kuhusu Wanajeshi kupigana na Polisi Tarime juzi, wangapi wameumia? kisa?
03:11
No comments
Kwa mujibu wa magazeti ya Nipashe na Mwanachi leo, hii ishu ilitokea wakati Wanajeshi hao walipokua wakijaribu kumchukua Mwanajeshi mwenzao aliyekamwatwa na polisi hao kwa kosa la kuendesha pikipiki bila kuvaa kofia (Helmet).
Mashambuliazi hayo ya kurushiana risasi na kupigana ngumi na mateke yalitokea juzi jioni katika kituo hicho cha stendi ambapo Mganga Mfawidhi Hospitali ya Tarime alithibitisha kupokea majeruhi 12 na kati yao wawili ni askari wa JWTZ, Polisi saba na raia watatu.
Kamanda wa Polisi Tarime alisema Mwanajeshi huyo licha ya kukiuka taratibu za barabarani aliwatolea lugha za matusi polisi hao jambo lililowalazimu kumkamata kwa nguvu na wanajeshi wenzake kuingilia kati na kusababisha vurugu.
Alisema Wanajeshi watatu ambao hawakutajwa majina wameshikiliwa na polisi kwa kuvunja utaratibu wa usalama huku Mkuu wa Wilaya hiyo John Henjewele akilaani kitendo hicho cha kurushiana risasi za moto hewani na kusema ni cha utovu wa nidhamu na kilikwamisha shughuli za watu kwa muda sababu ya kuhofia usalama wao.
Jumamosi, 27 Septemba 2014
top 5 YA LISTI YA WASANII WA BONGO FLEVA WENYE MKWANJA MREFU KULIKO WOTE
06:39
No comments
2:PROFESOUR JAY ni msani namba mbili katika listi hii ambae ameanza mziki miaka ya tisini nana hadi sasa ameweza ku meintane na kuedelea kubaki kwenye game anamiliki nyumba ya kifahari yenye studio ndani pia ana miliki mashamba na amewekeza kwenye sekta mbli mbali
3:LADY JAY DEE anashika anashika namba tatu kwenye list hii ni msanni wa kike anaye heshimika zaidi tanzania na ameanza mziki mwishoni mwa miaka ya tisini na amejipatia mafanikio makubwa kutokana na bidii yake kwenye kazi ana miliki magari kibao yakiwemo toyota murano,toyota costa minbus,toyota prado nk..ana ishi kwenye nyumba yake ya kifahari na pia anamiliki bend yake mwenyewe machozi band
5:JUMA NATURE (KIROBOTO) ni msanii mkongwe katika game ya bongo flaver ambae amepata mafanikio makubwa kwenye game hii ambapo anamiliki tax nyingi hapa daresalam pia anamiliki nyumba pamoja na mashamba
Mambo ya Kishamba Ambayo Mwanaume wa Sasa Hutakiwi Kuyafanya
04:51
No comments

1. Kufuata mkumbo, kutokuwa na maamuzi yako mwenyewe. 2. Kuongea lugha chafu, huwezi kumaliza sentensi bila matusi. 3. Kuvaa mlegezo. 4. Kunyoa panki, kiduku au kuacha afro. 5. Kuvaa viatu vya four angles au vyenye soli kubwa. 6. Kukimbia mimba au k
Faida Ama Uzuri wa Kuoa Single Mothers na Wadada Over 35 yearsu cheki>>>>>>>>>>>> mwana dada anavo sema
04:43
No comments

Ndoa nyingi zina changamoto lakini nimegundua ukioa single mother au dada ambae ni 35+ hawa watu mara nyingi huwa ni wife materials ukilinganisha na hawa wenye age ya 20-35. *Hawa watu wana commitment sana katika ndoa zao. *Wanakuwa washapitia chang
hili ndo shoga la dunia>>>>>>>>>>>>>cheki video
04:39
No comments
Mwanaume mmoja ajulikanaye kwa jina la Saidi amenaswa na Kamera
akielezea jinsi anavyompagawisha mpenzi wake wa kiume, alikuwa akipiga
stori na Mashosti zake wa Kike..
Angalia Video Hapa chini
Angalia Video Hapa chini
MWANAMUZIKI mwenye vituko kila kukicha Bongo, Baby Joseph Madaha>>>>>>>>>>>>>>>, ametoa dukuduku lake la moyoni na kusema kuwa kila kukicha anayatamani mapenzi ya Wema Sepetu na Nasibu Abdul ‘Diamond
04:32
No comments
MWANAMUZIKI mwenye vituko kila kukicha Bongo, Baby Joseph Madaha, ametoa dukuduku lake la moyoni na kusema kuwa kila kukicha anayatamani mapenzi ya Wema Sepetu na Nasibu Abdul ‘Diamond’ kama angekuwa yeye.
Akizungumza na paparazi wetu, Baby alisema kuwa kila akiwaona Wema na Diamond anatamani sana na yeye awe kwenye uhusiano wenye kupendwa na kuhamasisha kama ulivyokuwa wa mastaa hao kiasi ambacho amefikia hatua ya kuwaonea wivu.
“Kiukweli nikiwaona hawa watu nasikia mpaka wivu na kuna wakati natamani niwe mimi jamani maana sifikiri kama kuna ‘kapo’ kali hapa Bongo kama hii jamani, naitamani hadi basi,” alisema Babyalisema
habari >>>>>>>>>>>>>diamond na asema ukweli kuhusu wema
04:28
No comments
Diamond 'Kusema Ukweli Sina Mahusiano na Meninah. Kila Mtu Anajua Mie Wangu ni Wema'
Hatimaye Diamond Platnumz amefunguka kuhusu tetesi zinazoendelea kuwa ameachana na Wema Sepetu na kwamba ana mpango wa kufunga ndoa na Meninah, Diamond alisema kuwa tetesi hizo zimekuwa zikimhuzunisha kwa kiasi kikubwa. “Unajua hizi habari kiukweli
Hatimaye Diamond Platnumz amefunguka kuhusu tetesi zinazoendelea kuwa ameachana na Wema Sepetu na kwamba ana mpango wa kufunga ndoa na Meninah, Diamond alisema kuwa tetesi hizo zimekuwa zikimhuzunisha kwa kiasi kikubwa. “Unajua hizi habari kiukweli

cheki >>>>>>>>>>>maneno a raisi
01:30
No comments
Ndoa nyingi zina changamoto lakini nimegundua ukioa single mother au dada ambae ni 35+ hawa watu mara nyingi huwa ni wife materials ukilinganisha na hawa wenye age ya 20-35. *Hawa watu wana commitment sana katika ndoa zao. *Wanakuwa washapitia chang
Ndoa nyingi zina changamoto lakini nimegundua ukioa single mother au dada ambae ni 35+ hawa watu mara nyingi huwa ni wife materials ukilinganisha na hawa wenye age ya 20-35. *Hawa watu wana commitment sana katika ndoa zao. *Wanakuwa washapitia chang
gonjwa la ebola >>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>jisomeeeeeeeeeeeeee
01:19
No comments
Shirika la
afya duniani limesema kuwa zaidi ya watu elfu tatu sasa wamedaiwa
kufariki kutokana na kuzuka kwa ugonjwa wa Ebola katika eneo la Afrika Magharibi kati ya visa elfu sita vya ugonjwa huo vilivyoripotiwa.
Liberia imeathiriwa vibaya na ugonjwa huo huku WHO ikisema kuwa kumekuwa na vifo 150 vilivyotokea katika kipindi cha siku mbili pekee.Idadi hiyo inaweza kupuuzwa kwa kuwa watu wengi wanaogopa kwenda hospitalini.
Hazina ya Fedha duniani IMF imeahidi dola millioni 130 kama msaada wa dharura kwa mataifa ya Liberia,Guinea na Sierra Leone.
Mshirikishe mwenzako Unavyoweza kumshirikisha mwenzako
ffa
Ijumaa, 26 Septemba 2014
Alhamisi, 18 Septemba 2014
Jumanne, 16 Septemba 2014
Mwanamke ajirusha kwenye bwawa la Mamba
08:29
No comments
Mwanamke mwenye umri wa miaka 65 mjini Bangkok, Thailand, amefariki baada ya kujirusha katika bwawa lenye Mamba katika shamba la kutunza na kuhifadhi wanyama hao karibu na mji huo.
Walioshuhudia
kitendo hicho wanasema kuwa walimuona mwanamke huyo, Wanpen Inyai,
akijirusha katika bwawa lenye Mamba katika kituo cha kuwatunza wanyama
hao cha Samut Prakarn, siku ya Ijumaa.Taarifa hii ni kwa mujibu wa jarida la The Bangkok Post. Wafanyakazi wa kituo hicho walikosa kumuokoa mama huyo.
Polisi wanasema kuwa walifahamishwa na familia ya mama huyo kwamba alionekana mwenye afya duni na mwenye kusongwa na mawazo kabla ya kifo chake
Polisi walithibitisha kifo cha Bi Wanpen Jumanne mchana.
Kwa mujibu wa ripoti, Bi Wanpen alivua viatu vyake kabla ya kujirusha ndani ya bwawa hilo, ambalo linasemekana kuwa na kina cha mita tatu.
Wafanyakazi walijaribu kutumia vijiti virefu kuwafukuza Mamba hao kwa lengo la kuwazuia wanyama hao kumshambulia mwanamke huyo.
Mapema siku hiyo, familia ya Wanpen, ilijaribu kutoa taarifa ya kupotea kwake la lengo la kumtafuta ingawa walifahamishwa kusubiri kwa saa 24.
Kifo chake kinafanana na kisa kimoja kilichomkumba mwanamke aliyejiua mwaka 2002 kwa njia hiyo hiyo katika kituo cha kuwatunza Mamba.
EBORA:Jeshi la Marekani kusaidia Liberia
08:23
No comments
Rais wa Marekani Barrack Obama
hii leo anatazamiwa kutangaza mpango wake wa kuwatuma wanajeshi 3,000
nchini Liberia kama njia moja ya kusaidia katika vita dhidi ya ugonjwa
hatari wa Ebola.
Wanajeshi hao watasimamia ujenzi wa vituo vipya
vya kimatibabu na pia watahusika katika utoaji wa mafunzo ya kimatibabu
kwa wahudumu.Kumekuwa na malalamishi kwamba jamii ya kimataifa imelegea katika harakati za kukabiliana na mkurupuko wa Ebole katika mataifa ya Afrika magharibi.
Zaidi ya nusu ya idadi ya watu waliofariki kutokana na ugonjwa huu ni raia wa Liberia.
Shirika la afya duniani (WHO) limetahadharisha kuwa huenda watu zaidi wakazidi kufariki.
Umoja wa Mataifa (UN) unapangiwa kuzungumzia jinsi ya kukabiliana na mlipuko wa ugonjwa wa Ebola katika mkutano unaopangiwa kufanyika huko Geneva.
Kulingana na viongozi nchini Marekani, mpango wao wa kukabiliana na ugonjwa wa Ebola unalenga-:
Ujenzi wa vituo vya matibabu 17, kila chumba kikiwa na vitanda kumi.
Usambazaji wa vifaa vya huduma ya afya kwa kila nyumbaKampeni ya kuwahamasisha wananchi kuhusu jinsi ya kuwashughulikia wagonjwa wa Ebola.
Ujenzi wa kituo cha kijeshi cha pamoja mjini Monrovia kitakachotumiwa katika shughuli ya kupokea msaada kutoka kwa jamii ya kimataifa.
Wadadisi wa masuala ya kimatibabu wamepongeza mpango huu wa Marekani huku wengine wakitilia shaka nia ya Marekani nchini Liberia.
tazama picha zinazoonyesha jinsi makalio bandia ya nikki minaji yalivyo taka kudondoka>>>>>>>>>>>
08:13
No comments
Jumatatu, 15 Septemba 2014
NISHEDAH!: Nay wa Mitego amzawadia studio mpya producer wake Mr T Touch inaitwa ‘Free Nation Production’
23:59
No comments
Akizungumza na Bongo5 jana, Nay amesema kuwa ameamua kufanya hivyo baada ya kuona kuwa muziki unazaolishwa na producer huyo unamwingizia pesa nyingi kuliko malipo anayompa.
“Wasanii tuna maproducer ,maproducer wetu tunajuaga kama wamekuwa hawaingizi kipato kikubwa sana tofauti na sisi wasanii,’ amesema Nay.
“Producer akikugongea ngoma moja ukimlipa laki tatu wewe unaweza ukaingiza zaidi hata ya milioni hamsini. Kwa producer aliyekufanyia hiyo ngoma inakuwa haimtoshi, for reel kabisa naongea kwa mara ya kwanza kwamba studio yangu imekamilika ambayo nampa zawadi producer wangu ambaye nilianza naye tangu… nasema nao mpaka leo hii ngoma yangu ya mwisho ya Mr Nay, zote hapa katikati amefanya yeye. Tumepata tuzo mara mbili, ni vitu ambavyo amefanya yeye, nimeingiza pesa nyingi lakini hela ambayo nilikuwa namlipa ni ileile laki mbili, laki tatu haimtoshi! Mimi nimeshaingiza zaidi ya milioni mia moja, mia mbili.”
“Kwahiyo nilichofanya nimekamilisha studio na nimemkabidhi kama zawadi yake. Studio inaitwa Free Nation Production. Mimi mwenyewe nitakuwa nafanyia kazi zaidi kwa sababu nahisi nitakuwa huru zaidi, japo kuwa sio lazima nifanyie hapo lakini hii ni kama zawadi kwa producer wangu, pia watu wengine wakihitaji kurekodi watarekodi.”
Bongo5
HATARI:polisi wanasa vilipuzi huko uganda
14:04
No comments
Polisi
nchini Uganda wanasema kuwa wamekamata kiasi kikubwa cha vilipuzi
walipokuwa wakifanya operesheni ya kutibua jaribio la shambulizi la
kigaidi la wanamgambo wa al-Shabab.
Hadi sasa, watu kumi na tisa
wamekamatwa na polisi na wanahojiwa kuhusiana na nia yao kutekeleza
vitendo vya kigaidi, kulingana na msemaji wa polisi.Wiki iliyopita, ubalozi ya Marekani mjini Kampala ulionya kuwa kulikuwa na uwezekano wa shambulizi la kulipiza kisasi mauaji wa kiongozi wa kundi hilo la Al-Shabab.
Uganda inalaumiwa kwa kutuma majeshi yake kupigana chini ya Umoja wa Afrika Amisom.
Serikali inasema kuwa kundi hilo la kigaidi lilikuwa limepanga kushambuliz mji mkuu wa Kampala.
Askari walisema kuwa kundi hilo lilikuwa limepanga kufanya mashambulizi katika miji mingine mwishoni mwa wiki.
Siku ya Jumapili, Marekani ilifuta onyo lao ikidai kuwa iliamini kuwa tishio la shambulizi lilikuwa halipo tena.
Waziri wa habari nchini Uganda, Rose Namayanja aliwasihi wananchi kuendelea kuwa waangalifu huku serikali ikiendelea kufanya uchunguzi wa mashambulizi yoyote yaliyokuwa yamepangwa.
Alisema kuwa watuhumiwa walikuwa wamepatikana na vifaa vinavyotumiwa katika vitendo vya kigaidi na nia yao ilikuwa wazi sana.
EBORA:Malaysia kutoa glavu milioni 20
11:32
No comments
Malaysia imetangaza kutoa mchango wa glavu milioni 20 kwa mataifa 5 yanayopambana na homa hatari ya Ebola
Serikali ya Malaysia imesema kuwa glavu hizo zitatolewa kwa wafanyakazi wa afya nchini Liberia , Sierra Leone, Guinea, Nigeria na DRC.Upungufu wa glavu hizo umezua wasiwasi wa kuenea kwa virusi hivyo,kwa mujibu wa maafisa wa Afya.
Nchi hiyo inaongoza kwa kutengeza glavu kwa asilimia 60 ya glavu zote duniani.
"Malaysia inaweza kutoa mchango wake wa kipekee kukabiliana na Ebola kwa sababu nchi yetu ni moja ya nchi zinazotengeza glovu duniani, '' alisema waziri mkuu Najib Razak.
"tunatumai kuwa mchango wetu utasaidia kuzuia kuenea kwa Ebola na kuokoa maisha.''
Zaidi ya nusu ya vifo vinavyotokana na Ebola vimetokea Liberia tangu mlipuko wa ugonjwa huu.
Sierra Leone, Guinea na Liberia ni baadhi ya mataifa yaliyoathiriwa vibaya sana na ugonjwa huo ambao hadi kufikia sasa umewaua zaidi ya watu 2,400 mwaka huu.
Miongoni mwa makampuni ambayo yametoa mchango huo ni pamoja na Sime Darby, Kuala Lumpur Kepong, IOI Corporation Berhad na Top Glove.
skiliza na download tack mpya ya more giniazy kutoka studio ghetoh
07:31
No comments
msanii mkali wa hiphop anaekuja kwa kasi ya ajabu ametoa ngoma yake mpya inayo enda kwa jina More Mkali kutoka studio GhEtHoh...!
Jumapili, 14 Septemba 2014
Jumamosi, 13 Septemba 2014
ya moto band-niseme
01:00
No comments
Ijumaa, 12 Septemba 2014
sikiliza wimbo mpya wa mwana dada yemi alade hapa
11:49
No comments
Yemi-Alade-2Mpaka sasa Yemi Alade anarekodi mbili zilizofanya vizuri Africa ambazo ni Johnny na Tangerine. Hii ni kazi ya tatu ya msanii huyu ambaye hivi karibuni alikuwa coke studio Afrika na Diamond.. Album mpya ya Yemi ni King Of Queens
jua madhara mbalimbali yatokanayo na unywaji wa pombe kali
01:08
No comments
Kati
ya mambo ambayo watu wengi hawatilii maanani sana ni unywaji wa pombe
wakati wa ujauzito. Nimekuwa nikiwaona akina mama wajawazito wengi
wakinywa pombe kwenye sehemu za starehe na sherehe mbalimbali. Hata
hivyo si nia ya makala hii kuwazuia kunywa pombe bali kuwapa elimu
sahihi juu ya unywaji wa pombe wakati wa ujauzito.
Baadhi ya wataalam wanasema unywaji wa wastani wakati wa ujauzito ni kitu ambacho kinaweza kukubalika ingawa wapo baadhi ya wataalamu wengine wanaoamini kuwa unywaji wa hata glasi moja ya mvinyo (wine) kwa wiki huhatarisha afya ya mtoto wako. Hata hivyo haijulikani kwa hakika, ni kiasi gani cha pombe ni salama kwa makuzi sahihi ya mtoto wako tumboni.
Wataalamu wengi wanashauri kuacha pombe kabisa wakati wa ujauzito. Pombe inaweza kuleta madhara makubwa kwa mtoto wako bila wewe kuhisi madhara yake. Na yanaweza kuwa madhara ya kudumu ambayo ataishi nayo maisha yake yote. Aidha kuna dhana imejengeka kwa baadhi ya
wajawazito kuwa, hawatakiwi kunywa pombe kali kama vodka au whisky tu lakini ni ruksa kutumia aina nyingine za pombe. Hata hivyo dhana hii si sahihi kwa kuwa pombe za aina zote zaweza kuleta madhara makubwa kwa kiumbe aliye tumboni.
Kisayansi takwimu zinaonyesha kwamba unywaji sana wa pombe wakati wa ujauzito huathiri mimba. Ni hili hutokea zaidi katika kipindi cha miezi 3 ya mwanzo (first trimester), kipindi ambacho viungo vingi vya mwili wa mtoto hufanyika (organogenesis).
Nini hutokea unapokunywa pombe wakati wa Ujauzito?
Pombe ni sumu kwa mtoto. Unapokunywa pombe inaingia moja kwa moja kwenye mzunguko wa damu wa mama kasha hufika kwa mtoto kwa kupitia kondo la nyuma (placenta).
Mara pombe inapoingia kwenye mzunguko wa damu wa mtoto, huathiri uwezo wa mtoto kupata chakula, virutubisho na oksijeni ya kutosha kwa ajili ya maendeleo ya kawaida katika ubongo na viungo vingine. Hii inaweza kuathiri ubongo wa mtoto na ukuwaji wa viungo vya mwili kwa ujumla.
Uharibifu huu unaweza kuathiri uwezo wa mtoto kujifunza na kufikiri pindi anapozaliwa hali ambayo itajionesha kwa matendo yake kama mtoto na kama mtu mzima.
Aidha, utafiti umeonesha kwamba uwezo wa mimba kustahimili kiwango cha pombe ni mdogo mno hali ambayop huathiri ufanyikaji wa viungo na ukuwaji wake kwa kiasi kikubwa.
Kwa kiasi gani mtoto wako ambaye hajazaliwa anaweza kuathiriwa na pombe?
Kiwango cha kuathirika kwa mimba kutokana na unywaji pombe unaofanywa na mama mjamzito hutegemea sana mambo makuu matatu ambayo ni:
Matatizo yatokanayo na unywaji wa pombe
Baadhi ya madhara yanayoweza kumpata kiumbe aliye tumboni kwa mama kutokana na unywaji wa pombe kipindi cha ujauzito ni pamoja na
Ieleweke kuwa, madhara haya si ya muda bali ya kudumu ambayo yanaweza kusababisha kifo kwa mtoto, malezi na makuzi ya tabu na hata hisia mbalimbali katika maisha.
Kama wewe ni mjamzito, ni vizuri kuacha kunywa pombe. Hata hivyo wanawake ambao walikuwa wanatumia pombe wakati wa ujauzito wasiwe na hofu sana na habari hii. Kuna msemo uliozoeleka kitabibu kuwa ‘si kila mvutaji wa sigara anapata kansa ingawa ukweli ni kuwa wavutaji wapo katika
hatari kubwa zaidi’. Hali hii pia ina ukweli linapokuja suala la unywaji wa pombe wakati wa ujauzito kwamba si kila mtoto anaathiriwa na unywaji wa pombe ingawa hatari ya kuathirika ni kubwa zaidi. Hivyo basi ni muhimu kwa mama mjamzito kufanya maamuzi sahihi ya maisha ya mtoto wake.Madhara ya Unywaji wa Pombe wakati wa Ujauzito
Baadhi ya wataalam wanasema unywaji wa wastani wakati wa ujauzito ni kitu ambacho kinaweza kukubalika ingawa wapo baadhi ya wataalamu wengine wanaoamini kuwa unywaji wa hata glasi moja ya mvinyo (wine) kwa wiki huhatarisha afya ya mtoto wako. Hata hivyo haijulikani kwa hakika, ni kiasi gani cha pombe ni salama kwa makuzi sahihi ya mtoto wako tumboni.
Wataalamu wengi wanashauri kuacha pombe kabisa wakati wa ujauzito. Pombe inaweza kuleta madhara makubwa kwa mtoto wako bila wewe kuhisi madhara yake. Na yanaweza kuwa madhara ya kudumu ambayo ataishi nayo maisha yake yote. Aidha kuna dhana imejengeka kwa baadhi ya
wajawazito kuwa, hawatakiwi kunywa pombe kali kama vodka au whisky tu lakini ni ruksa kutumia aina nyingine za pombe. Hata hivyo dhana hii si sahihi kwa kuwa pombe za aina zote zaweza kuleta madhara makubwa kwa kiumbe aliye tumboni.
Kisayansi takwimu zinaonyesha kwamba unywaji sana wa pombe wakati wa ujauzito huathiri mimba. Ni hili hutokea zaidi katika kipindi cha miezi 3 ya mwanzo (first trimester), kipindi ambacho viungo vingi vya mwili wa mtoto hufanyika (organogenesis).
Nini hutokea unapokunywa pombe wakati wa Ujauzito?
Pombe ni sumu kwa mtoto. Unapokunywa pombe inaingia moja kwa moja kwenye mzunguko wa damu wa mama kasha hufika kwa mtoto kwa kupitia kondo la nyuma (placenta).
Mara pombe inapoingia kwenye mzunguko wa damu wa mtoto, huathiri uwezo wa mtoto kupata chakula, virutubisho na oksijeni ya kutosha kwa ajili ya maendeleo ya kawaida katika ubongo na viungo vingine. Hii inaweza kuathiri ubongo wa mtoto na ukuwaji wa viungo vya mwili kwa ujumla.
Uharibifu huu unaweza kuathiri uwezo wa mtoto kujifunza na kufikiri pindi anapozaliwa hali ambayo itajionesha kwa matendo yake kama mtoto na kama mtu mzima.
Aidha, utafiti umeonesha kwamba uwezo wa mimba kustahimili kiwango cha pombe ni mdogo mno hali ambayop huathiri ufanyikaji wa viungo na ukuwaji wake kwa kiasi kikubwa.
Kwa kiasi gani mtoto wako ambaye hajazaliwa anaweza kuathiriwa na pombe?
Kiwango cha kuathirika kwa mimba kutokana na unywaji pombe unaofanywa na mama mjamzito hutegemea sana mambo makuu matatu ambayo ni:
- Kiasi cha unywaji wa pombe
- hatua ya mimba yaani umri wa mimba
- mara ngapi unakunywa pombe
Matatizo yatokanayo na unywaji wa pombe
Baadhi ya madhara yanayoweza kumpata kiumbe aliye tumboni kwa mama kutokana na unywaji wa pombe kipindi cha ujauzito ni pamoja na
- Kutoka/kuharibika kwa mimba
- Mtoto kuzaliwa akiwa na uzito mdogo
- Mtoto kuzaliwa akiwa na ulemavu wa mbavu na kidari (sternum)
- Mtoto kuzaliwa akiwa na matatizo ya mgongo uliopinda (kibiongo) na vidole vilivyoundana
- Mtoto kuzaliwa akiwa na kichwa kidogo kuliko kawaida (microcephaly)
- Mtoto kuzaliwa akiwa na matatizo ya pua
- Kuzaliwa na matatizo ya taya
- Mtoto kuwa na matatizo ya kutokuona mbali
- Matatizo ya moyo kama vile moyo kuwa na tundu
- Matatizo ya figo
- Mtoto kuwa na ubongo mdogo na pia matatizo ya akili
- Mtoto kuzaliwa akiwa na mdomo sungura (lip palate na cleft palate)
- Matatizo ya kimaumbile ya masikio na ulemavu kwenye sehemu za uzazi (genital malformations).
- Aina mojawapo ya kansa ya chembe nyeupe za damu (Acute Myeloid Leukemia). Hii ni kwa mujibu wa utafiti uliochapishwa katika
- jarida moja la utafiti wa kansa la Marekani lijulikanalo kama Journal of the American Association for Cancer Research.
Ieleweke kuwa, madhara haya si ya muda bali ya kudumu ambayo yanaweza kusababisha kifo kwa mtoto, malezi na makuzi ya tabu na hata hisia mbalimbali katika maisha.
Kama wewe ni mjamzito, ni vizuri kuacha kunywa pombe. Hata hivyo wanawake ambao walikuwa wanatumia pombe wakati wa ujauzito wasiwe na hofu sana na habari hii. Kuna msemo uliozoeleka kitabibu kuwa ‘si kila mvutaji wa sigara anapata kansa ingawa ukweli ni kuwa wavutaji wapo katika
hatari kubwa zaidi’. Hali hii pia ina ukweli linapokuja suala la unywaji wa pombe wakati wa ujauzito kwamba si kila mtoto anaathiriwa na unywaji wa pombe ingawa hatari ya kuathirika ni kubwa zaidi. Hivyo basi ni muhimu kwa mama mjamzito kufanya maamuzi sahihi ya maisha ya mtoto wake.Madhara ya Unywaji wa Pombe wakati wa Ujauzito
Jumapili, 13 Julai 2014
Matokeo ya Chanjo ya kwanza ya Ugonjwa wa Dengue uliousumbua Tanzania.
00:13
No comments
Utafiti kutoka katika jarida la Lancet unaonyesha zaidi ya asilimia 50 ya watoto ambao wamepewa chanjo hiyo wamepata ulinzi dhidi ya ugonjwa huo.
Nusu ya idadi ya watu duniani wako katika hatari ya kuambukizwa virusi vya ugonjwa huo vinavyotokana na mbu.
Wataalam wanasema ingawa utafiti umekuwa ni wa muda mrefu wameahidi chanjo ya ufanisi mkubwa na muhimu ili kufanikisha lengo lao.
Kwa sasa hakuna tiba ya kuzuia homa ya dengue ugonjwa ambao unaathiri zaidi ya watu milioni moja kwa mwaka.
Katika utafiti wa awali wa chanjo hiyo, watafiti kutoka vituo vitano katika bara la Asia waliwatibu watoto 6,000 wenye umri kati ya miaka miwili na 14.
Chanjo hiyo pia ina manufaa katika aina nyingine za magonjwa, na inapunguza idadi ya watu wanaohitaji matibabu katika hospitali kuanzia asilimia 80 ya kesi ya homa ya hemorajiki ambayo imekuwa ikitishia maisha ya watu.
Ijumaa, 4 Julai 2014
jionee: Daraja lililobomoka na kuua wawili Brazil.
06:54
No comments
Tukio hilo limetokea katika mji wa Belo Horizonte wakati magari yakipita chini ya daraja ambapo moja ya malori lililokuwa limebeba gari na ujenzi na gari moja lilinasa kwa mujibu wa maafisa.
MAONI
Jumatano, 25 Juni 2014
Jumatatu, 23 Juni 2014
Justin Bieber & Selena Gomez: Romantic Dinner Before Movies Revealed
04:42
No comments
Courtesy of Instagram
They’re two of the most famous people in the world, but Justin Bieber and Selena Gomez love a fun dinner-and-a-movie date as much as the rest of us! We have all the romantic details about Jelena’s fancy dinner together on June 20.
Justin Bieber and Selena Gomez are done hiding their rekindled romance to the world. Before they caught a movie at the Westfield Century City mall theater in Los Angeles, Calif. on June 20, Justin and Selena enjoying a private and romantic dinner at one of the best steakhouses in Hollywood!Justin Bieber & Selena Gomez: Romantic Dinner At LA Steakhouse
Justin and Selena dined together at Mastro’s, one of the most upscale restaurants in Beverly Hills, according to TMZ. The duo, who were joined by a bodyguard, both wore the same outfits for dinner and the movie — black pants and a white long-sleeved shirt (with one black stripe down the front) for Justin and a knee-length skirt, cute crop top and oversized cardigan for Selena.
Miley Cyrus Reacts To Justin Bieber Selena Gomez
Miley Cyrus comes out and comments on Justin Bieber getting back together with Selena Gomez.
Starring Chloe Melas
Produced &...
KUWTK Preview: Kim Kardashian & Kendall Jenner Fight
'Keeping
Up With The Kardashians': Kim Kardashian & Kendall Jenner get into a
fight over her dog while Khloe Kardashian takes sides....
Justin Bieber & Selena Gomez: Their Movie Date After Dinner
Sel and Justin went to see the newly-released Think Like A Man Too, according to a fan. HollywoodLife.com learned that Justin and Selena snuck into the movie during the previews so they less people would notice them. They were definitely NOT trying to hide their love! As the duo exited the theater, they were affectionate — and even held hands! Both Justin and Sel were in a great mood and acted like a couple. Selena even put her arm around Justin and rubbed his back as they walked out of the theater!What do YOU think about Jelena’s dinner and a movie date, HollywoodLifers? Let us know!
– Megan Ross
More Justin Bieber & Selena
Jisajili kwenye:
Machapisho (Atom)