More Giniazy track

[soundcloud url="https://api.soundcloud.com/tracks/167825674" params="auto_play=true&color=ff5500" width="100%" height="166" iframe="true" /]

This is default featured slide 1 title

Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.

Jumanne, 14 Oktoba 2014

ingia ujisomeeeeeeeeeeee>>>> Mapenzi Wanawake Wenye Hips na Shida Wanazokabiliana Nazo Kila Siku eingia

Wanawake wengi wenye hips , ni wanawake ambao si kwa mwanaume tu hata kwa wanawake wenzie husifia kuwa fulani kajaliwa, ki maumbile, ni kweli wana mvuto wa pekee, humwagiwa sifa nyingi za urembo, lakini pia kwa upande mwingine wa shillingi ni mata...

Jumapili, 12 Oktoba 2014

Kabula kahaba.. Kabulaa mlevi...kabula ana UKIMWI ivi ni kwelii .....................???????

muigizaji wa kike bongo movie jini KABULA anaye tumia jina la kabulaflavor intagram amefunguka hivi kuhusu wale wanaofuatilia maisha yake.... ati kipi sija sikia kabula kahaba.... kabula mlevi... kabulaa changu doaa.....kabula ana ukimwi naombeni mseme mapya  niacheni ni pumz...

ULEVI NI SHIDAAAA.....>>>>>>>>>>>

picha hapo juu inajieleza yenyewe jinsi dada huyo alivyo pombeka na kufikia hatuaah yakutojielewaaa na wajanjaa hawakusitaa kufanya yao na kumwacha dadahuyoo mtaronii ulevi ni shida...

Jumatano, 8 Oktoba 2014

MCHAKATO:wa katiba mpya Tanzania

Jakaya Kikwete wa Tanzania na Rais wa Zanzibar, Dr Ali Mohammed Shein, leo jioni wakitarajiwa kukabidhiwa rasimu ya katiba iliyopitishwa na Bunge Maalum la Katiba, nchi hiyo inajikuta ikiwa katika mgawanyiko wa kisiasa ambao haujashuhudiwa kwa muda mrefu. Hassan Mhelela anatathmini mchakato mzima wa kusaka katiba mpya na changamoto zake. Rasimu hiyo ya katiba ilipitishwa kwa kura ya ndiyo ya wajumbe wengi wa chama tawala CCM na wale wa kundi...

Jumamosi, 4 Oktoba 2014

Hii ni kuhusu Wanajeshi kupigana na Polisi Tarime juzi, wangapi wameumia? kisa?

Hii ni taarifa kutoka Tarime mkoani Mara ambako watu 12 wamejeruhiwa wakati wa mashambulizi ya kurushiana risasi kati ya askari wa JWTZ kituo cha Nyandoto na polisi wa kituo cha stendi. Kwa mujibu wa magazeti ya Nipashe na Mwanachi leo, hii ishu ilitokea wakati Wanajeshi hao walipokua wakijaribu kumchukua Mwanajeshi mwenzao aliyekamwatwa na polisi hao kwa kosa la kuendesha pikipiki bila kuvaa kofia (Helmet). Mashambuliazi hayo ya kurushiana risasi...